Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia kibao cha Uzinduzi wa mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwenye hafla iliyofanyika katika Ofisi za Baraza hilo Kijitonyama – Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.