MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, AKITUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UZAMIVU NA MKUU WA CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA)

Mhe. Rais samia suluhu hassan, akitunukiwa shahada ya heshima ya uzamivu na mkuu wa chuo kikuu cha taifa cha zanzibar (suza) ambae pia ni rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi mhe. Dkt. Hussein ali mwinyi kwa kutambua mchango wake wa kuifungua nchi kiuchumi kupitia sekta ya utalii wakati wa mahafali ya 19 ya chuo hicho yaliyofanyika kwenye ukumbi wa dkt. Ali mohamed shein kampasi ya tunguu tarehe 28 desemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *