Viongozi wa Sekta ya Utalii Zanzibar wakiongozwa na Dkt. Abdulla Mohamed Juma, Mkurugenzi wa Utalii Zanzibar wametembelea Ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Arusha tarehe 28.12.2023 lengo likiwa ni kujifunza mbinu na mikakati ya kuboresha sekta ya Utalii na kupata uzoefu wa kuimarisha ulinzi na usalama wa watalii wanaotembelea vivutio vya Utalii vilivyopo hapa nchini.
Viongozi wa Sekta ya Utalii Zanzibar wakiongozwa na Dkt. Abdulla Mohamed Juma, Mkurugenzi wa Utalii Zanzibar wametembelea Ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Arusha
Maafisa wa Uhifadhi katika Ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Arusha tarehe 28.12.2023 lengo likiwa ni kujifunza mbinu na mikakati ya kuboresha sekta ya Utalii na kupata uzoefu wa kuimarisha ulinzi na usalama wa watalii