Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye uwanja wa Amani Januari 12, 2024.