RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKISALIMIANA NA VIONGOZI MBALIMBALI WALIOHUDHURIA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Amani tarehe 12 Januari,2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *