Ndege ya Rais wa Rwanda ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Visiwani Zanzibar
Rais wa Rwanda Mhe Paul Kagame akiwasili na kupokelewa na viongozi katika uwanja wa ndege wa Zanzibar
Rais wa Rwanda Mhe Paul Kagame akiwasili na kupokelewa na viongozi katika uwanja wa ndege wa Zanzibar
Rais wa Rwanda Mhe Paul Kagame akisalimiana na Mhe Balozi wa Rwanda nchi Tanzania wakati alipo wasili na kupokelewa na viongozi katika uwanja wa ndege wa Zanzibar
Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania
RAIS WA RWANDA MHE, PAUL KAGAME AKIWSILI ZANZIBAR KUSHIKIRI MAADHIMISHO YA SIKU YA MAPINDUZI ZANZIBAR