ikiwa ni mpango mzuri kwa serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania katika kuboresha sekta ya usafirishaji kwa njia ya maji serikali imejipambanua kwa dhati na kutimiza wajibu wa kufanya mageuzi makubwa zaidi katika meli na vivuko kwaajili ya kurahisisha huduma za jamii na biashara kwa ujumla