
February 2024



WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA ATUA NCHINI KWA ZIARA YA KITAIFA YA SIKU TATU
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, Mhe. Dkt. Abiy Ahmed Ali amewasili nchini leo tarehe 29…

NDUGU WAKASUVI ATAKUMBUKWA DAIMA-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itamkumbuka aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora na mjumbe wa…

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASISITIZA MPANGO WA SERIKALI WA KUENDELEA KUTUMIA TEHAMA SHULENI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malengo ya Serikali ya Awamu ya Sita ni kuhakikisha Shule zote nchini zinakuwa na mifumo…

TANZANIA YAPOKEA TUZO YA AMANI DUNIANI
Makamu wa Rais Mhe Dkt. Philip Mpango akipokea Tuzo ya Amani Duniani iliyotolewa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

BALOZI WA TANZANIA NCHINI NAMIBIA, CAESAR C. WAITARA AMTEMBELEA RAIS WA KWANZA WA NAMIBIA, MHE, SAM NUJOMA
Mhe. Caesar C. Waitara,Balozi wa Tanzania nchini Namibia leo tarehe 20 Februari 2024 alimtembelea Mhe.Sam Nujoma,Rais wa Kwanza wa Namibia…

KUNDI LINGINE LA WANANCHI 541 LAHAMA NGORONGORO
Hamasa ya wananchi wanaojiandikisha kuhama kwa hiyari kutoka eneo la hifadhi ya Ngorongoro imeongezeka ambapo leo tarehe 19 February ,…

UMOJA WA AFRIKA WAMPA HESHIMA JULIUS NYERERE KWA KUWEKA SANAMU ADDIS ABABA MAKAO MAKUU
Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU),…

RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN APOKELEWA KATIKA KASRI LA KIFALME NCHINI NORWAY
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepokelewa katika Kasri la Kifalme nchini Norway ambapo amewasili leo…