RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIWASILI KATIKA VIWANJA VYA CHINANGALI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Chinangali kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *