WAZIRI MAKAMBA AMTEMBELEA MHE. DKT HUSSEIN MWINYI RAIS WA ZANZIBAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Msahariki January Makamba Leo amepata fursa ya kumtembelea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt Hussein mwinyi kutoa mkono wa pole kwa msiba wa Mzee Ali Hassan Mwinyi na kumpa maelezo ya utendaji wa Idara ya Mambo ya Nje Zanzibar.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *