MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. EMMANUEL NCHIMBI AMEWASILI JIJINI KINSHASA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili jijini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kumwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) uliopangwa kufanyika Novemba 15, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *