Makamu wa Rais Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akisalimiana na Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Dkt. Elijah Muchima, wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, Jijini Lusaka nchini Zambia leo tarehe 19 Novemba 2025.

