ELIMU YATOLEWA NA MAMLAKA YA UHIFADHI YA NGORONGIRO KWA WANANCHI WANAOTAKA KUHAMA KWA HIYARI NDANI YA HIFADHI
Na Mwandishi wetu. Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeendelea kuwaelimisha wananchi wanaojiandikisha kuhama kwa hiyari kutumia fidia wanazopata kwa…