BUNGENI DODOMA
WAZIRI SILAA AJA NA VIPAUMBELE KUWAHUDUMIA WATANZANIA SEKTA YA ARDHI
Na Eleuteri Mangi, WANMM, Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba ya Maendeleo ya Makazi, Mhe. Jerry Silaa ametaja vipaumbele vitano vya…
WAZIRI MKUU: WAZAZI FUATILIENI MIENENDO YA WATOTO WENU SHULENI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wazazi na walezi wafuatilie mienendo ya watoto wao waendapo shuleni ikiwemo na mahudhurio na masomo…
SERIKALI INAENDELEA KUWAHUDUMIA WAATHIRIKA WA KIMBUNGA HIDAYA – MAJALIWA
Ataja hatua zilizochukuliwa na Serikali katika kurejesha hali. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutoa misaada ya kibinadamu na…
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MA-RC, MA-DC TOENI TAARIFA ZA MICHANGO YA WADAU KWENYE MAAFA – MAJALIWA
18 Aprili, 2024 WAZIRI MKUU Kasim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya waweke utaratibu wa kutoa taarifa…
VIDEO: WAZIRI MKUU: MAPATO YA NDANI YAFIKIA TRILIONI 17
WAZIRI MKUU: MAPATO YA NDANI YAFIKIA TRILIONI 17 Ahimiza utoaji wa risiti halali za kielektroniki WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema…
WAZIRI MKUU: MAPATO YA NDANI YAFIKIA TRILIONI 17
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kati ya Julai, 2023 na Januari, 2024 Serikali imefanikiwa kukusanya sh. trilioni 17.1 ambazo ni…
SERIKALI KUANZISHA SOMO LA UCHAMBUZI WA MICHEZO VYUONI
Na Shamimu Nyaki Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo inakusudia kuanza kufundisha somo la Uchambuzi wa Michezo katika…
RAIS SAMIA ARUHUSU MCHAKATO WA KUMBUKUMBU ZA TANZANIA KUREJESHWA NCHINI
Na Happiness Shayo -Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameruhusu kuanzishwa kwa mchakato…
SERIKALI YATOA UFAFANUZI WA MIFUGO ILIYOKAMATWA SERENGETI
Na Happiness Shayo- Dodoma Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema kuwa suala linalohusisha ng’ombe 806, kondoo…
- 1
- 2

