KATIBU MKUU WA WIZARA YA SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO, GERSON MSIGWA AMEKUTANA NA MABONDIA WALIOSHINDA MAPAMBANO YAO YA MIKANDA YA UBINGWA WA BARAZA LA NGUMI DUNIANI, WBC
Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo, Gerson Msigwa mapema asubuhi ya Novemba Mosi amekutana mabondia walioshinda mapambano…