MAJALIWA: TUMEDHAMIRIA KUONGEZA KIPATO CHA WANANCHI
Asema lengo ni kuleta uwiano mzuri wa kiuchumi na kijamii mijini na vijijini WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya…
Asema lengo ni kuleta uwiano mzuri wa kiuchumi na kijamii mijini na vijijini WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya…
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wazazi na walezi wafuatilie mienendo ya watoto wao waendapo shuleni ikiwemo na mahudhurio na masomo…
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka zinazohusika na usimamizi wa sekta ya habari ziendelee kusimamia vyombo vya habari vizingatie maadili…
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Mei 14, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 13, 2024 amezindua na kushuhudia makabidhiano ya Kituo Atamizi cha Ufugaji wa Kibiashara kwa…
Awaonya vijana wasizime ndoto za watoto wa kike Aweka jiwe la msingi jengo la Mama na Mtoto Hospitali ya Wilaya…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 11, 2024 ameshiriki katika tukio la mbio za Mbeya Tulia Marathoni 2024 zilizoandaliwa na…
Ataja hatua zilizochukuliwa na Serikali katika kurejesha hali. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutoa misaada ya kibinadamu na…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 07, 2024 ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri uliofanyika kwenye ukumbi…
RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza huduma za dharura zipelekwe kwenye maeneo yaliyopata athari kutokana na kimbunga Hidaya. Hayo yamesemwa…