Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Slovakia Mhe. Robert Fico, kando ya Mkutano wa 7 wa Viongozi wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya (AU-EU Summit), unaofanyika Jijini Luanda nchini Angola.

