ECONOMIC DIPLOMACY
TANZANIA NA SWEDEN, (GPE) (SIDA), ZIMESAINI MKATABA WA MSAADA WENYE THAMANI YA DOLA ZA MAREKANI MILIONI 84
Tanzania na Sweden, kupitia Taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE) na Shirika la Kimataifa la Ushirikiano wa Kimaendeleo la…
UHOLANZI, KUPITIA SHIRIKA LAKE LA INVEST INTERNATIONAL, IMEIPATIA TANZANIA, MSAADA WA EURO MILIONI 30,
Uholanzi, kupitia Shirika lake la Invest International, imeipatia Tanzania, msaada wa euro milioni 30, sawa na zaidi ya shilingi bilioni…
SOKO LA KAHAWA, UFUTA LANUKIA ALGERIA
Balozi wa Tanzania nchini Algeria Mhe. Iman Njalikai amesema Chemba ya Biashara ya Algeria imedhamiria kununua kahawa na ufuta kutoka…
UTEKEKEZAJI ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI INDIA SEKTA YA UTAMADUNI WAANZA
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Uhusiano…
SERIKALI YA TANZANIA NA ROMANIA ZATILIANA SAINI ZA MIKATABA YA MASHIRIKIANO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis…
WAZIRI WA FEDHA, MHE. Dkt. MWIGULU NCHEMBA (Mb) AMESHIRIKI MKUTANO WA VIONGOZI WA AFRIKA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), wameshiriki Mkutano wa Viongozi…
RAIS DKT, SAMIA AHUDHURIA MKUTANO WA MKUTANO WA JUKWAA LA UWEKEZAJI AFRIKA UNAOFANYIKA MARRAKESH NCHINI MOROCCO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Afrika…
MHE BALOZI SAID J MSHANA AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MHE. FIFI MASUKA SAINI, GAVANA WA JIMBO LA LUALABA
Mhe Balozi Said J Mshana amekutana na kuzungumza na Mhe. FIFI MASUKA SAINI, Gavana wa Jimbo la Lualaba kujadili changamoto…
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA UJUMBE WA UGANDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Uganda…
- 1
- 2

