

BI. OMOLO APONGEZA WIZARA YA FEDHA NA TAASISI ZAKE KWA UTOAJI WA ELIMU MAONESHO YA NANENANE DODOMA
Naibu Katibu Mkuu anayesimamia masuala ya Huduma za Hazina, Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo, ametembelea Banda la Wizara…
BALOZI WA TANZANIA NCHINI MSUMBIJI AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA BODI YA UTALII TANZANIA WATETA FURSA ZA UTALII
Mhe. Balozi Phaustine Kasike akutana na Bw. Ephraim Balozi Mafuru, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii (TTB). Katika Mkutano huo,…

WAZIRI SILAA AJA NA VIPAUMBELE KUWAHUDUMIA WATANZANIA SEKTA YA ARDHI
Na Eleuteri Mangi, WANMM, Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba ya Maendeleo ya Makazi, Mhe. Jerry Silaa ametaja vipaumbele vitano vya…
WAZIRI KAIRUKI AMPONGEZA RAIS SAMIA KUTOA MAGARI KWA KANDA ZOTE ZA TFS NCHINI, KUWA KINARA WA NISHATI SAFI AFRIKA
Na John Mapepele. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe Angelah Kairuki amempongeza Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt….

MAJALIWA: TUMEDHAMIRIA KUONGEZA KIPATO CHA WANANCHI
Asema lengo ni kuleta uwiano mzuri wa kiuchumi na kijamii mijini na vijijini WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya…

WANANCHI WA KAGERA WAISHUKURU SERIKALI KUWAFIKIA
Afisa Usimamizi wa Fedha Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha, Bw. Stanley Kibakaya, akimkabidhi vipeperushi vyenye taarifa…

WAZIRI MKUU: WAZAZI FUATILIENI MIENENDO YA WATOTO WENU SHULENI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wazazi na walezi wafuatilie mienendo ya watoto wao waendapo shuleni ikiwemo na mahudhurio na masomo…

MAJALIWA: VYOMBO VYA HABARI VIJIEPUSHE NA TAARIFA ZA UCHOCHEZI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka zinazohusika na usimamizi wa sekta ya habari ziendelee kusimamia vyombo vya habari vizingatie maadili…

TANAPA YAIMARISHA MIUNDOMBINU HIFADHI YA TAIFA IBANDA-KYERWA
Na. Brigitha Kimario- Kyerwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), linajenga lango la kuingilia watalii (Complex gate) eneo la…