Skip to content
December 8, 2025
URT Updates

URT Updates

Updates from the United Republic of Tanzania

Random News
Headlines
  • https://www.instagram.com/p/DReI4qOjH2-/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==

    DKT. NCHIMBI AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA SLOVAKIA

    2 weeks ago2 weeks ago
  • Stability returns to Tanzania

    Stability returns to Tanzania

    2 weeks ago2 weeks ago
  • Makamu wa Rais Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akisalimiana na Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Dkt. Elijah Muchima, wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, Jijini Lusaka nchini Zambia leo tarehe 19 Novemba 2025.

    Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akisalimiana na Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Zambia

    3 weeks ago3 weeks ago
  • MAKAMU WA RAIS DKT. EMMANUEL NCHIMBI AWASILI LUSAKA ZAMBIA

    3 weeks ago3 weeks ago
  • Makumbusho ya kisasa ya Jiopaki ya Ngorongoro-Lengai (Urithi Geo Museum) iliyoko Karatu Mkoani Arusha ni zao jipya la utalii ambapo pamoja na mambo mengine inatoa fursa ya kujifunza historia ya sayansi na mazingira kwa wanafunzi wanaotembelea makumbusho hiyo. Wadau mbalimbali wameendelea kutembelea makumbusho hiyo ambapo leo tarehe 19 Novemba, 2025 wanafunzi na walimu kutoka shule ya Msingi Paradise iliyopo Chato Mkoani Geita wamepata elimu kuhusu muonekano wa dunia kwa miaka mingi iliyopita na ilivyo sasa, maumbile asilia yanayopatikana katika ukanda wa bonde la ufa, kujionea mwamba wenye umri wa miaka milioni tatu iliyopita unaopatikana hifadhi ya Jiolojia ya Ngorongoro-Lengai, kujifunza tamaduni za makabila ya Wahadzabe, Wairaqw, Wadatoga na Wamasai pamoja, kupima uwezo wa kutambua sauti za wanyamapori, kushindana mbio kwa kutumia baiskeli na wanyamapori ndani ya makumbusho. Fursa zitakazotokana katika makumbusho hiyo ya kisasa ni pamoja na kuongeza zao jipya la utalii wa jiolojia na miamba, ukuza utafiti wa kisayansi na elimu ya kijiolojia, kuwezesha jamii na wanafunzi kujifunza historia ya sayansi na mazingira, kuongeza ajira na kipato kwa wananchi wa maeneo jirani na kuimarisha nafasi ya Tanzania kimataifa kama kinara wa uhifadhi, utalii na kielimu. Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro lilipewa hadhi ya kuwa eneo lenye utalii wa Miamba “Geopark” mwaka 2018 na kuwa Jiopaki pekee katika nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara na ya pili kwa Afrika ikitanguliwa na Morocco.

    MAKUMBUSHO YA JIOPAKI (URITHI GEO MUSEUM) FURSA YA KUJIFUNZA HISTORIA YA SAYANSI NA MAZINGIRA.

    3 weeks ago3 weeks ago
  • Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), uliyofanyika, Jijini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mkutano huo ambao ulitanguliwa na vikao vya Wataalam, Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi pamoja na Kamati za Mawaziri wa Kisekta, ikiwemo Ulinzi, Madini na Jinsia, umebebwa na kauli mbiu ya “Uimarishaji wa Amani na Usalama kwa Maendeleo Endelevu katika Eneo la Maziwa Makuu” Kupitia kaulimbiu hiyo, nchi wanachama zimejadili hali ya usalama katika Ukanda wa Maziwa Makuu na kupendekeza njia za kuimarisha amani na usalama kwenye eneo hilo. Katika Mkutano huo, Tanzania inaunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa ikiwemo ya amani na usalama na kusisitiza kuwa itaendelea kutoa mchango mkubwa kama inavyofanya katika nchi mbalimbali kuhakikisha kuwa amani ya kweli inapatikana kwenye Kanda hiyo. Katika Ufunguzi wa Mkutano huo, Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mhe. Felix Tshisekedi, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ushindi aliyoupata katika uchaguzi huru uliyofanyika mwezi Oktoba 2025. Aidha, nchi wanachama zimetakiwa kuenzi Mkataba ulioanzisha Jumuiya hiyo unaolenga kufikiwa kwa amani, usalama na maendeleo ya kweli kupitia ushirikiano, umoja na mshikamano bila kusahau kujitoa na kujituma kwa hali na mali kufanikisha

    TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA ICGLR KINSHASA CONGO

    3 weeks ago3 weeks ago
  • Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili jijini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kumwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) uliopangwa kufanyika Novemba 15, 2025.

    MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. EMMANUEL NCHIMBI AMEWASILI JIJINI KINSHASA

    3 weeks ago3 weeks ago
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi, Mhe. Vladimir Putin, uliowasilishwa kwake na Mhe. Sergei Kiriyenko, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 06 Novemba, 2025.

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA UJUMBE MAALUMU KUTOKA KWA RAIS WA URUSI VLADIMIR PUTIN

    1 month ago1 month ago
  • Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akikabidhiwa nyaraka mbalimbali za Ofisi ya Makamu wa Rais, kutoka kwa mtangulizi wake, Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, leo tarehe 04 Novemba 2025.

    DKT. NCHIMBI AKABIDHIWA OFISI

    1 month ago1 month ago
  • FAKE NEWS ALERT: PRESIDENT IBRAHIM TRAORÉ DID NOT TURN DOWN INVITATION FROM PRESIDENT SAMIA SULUHU HASSAN

    1 month ago1 month ago
  • Home
  • COP28 UAE
  • Page 2

COP28 UAE

  • COP28 UAE
  • RAIS SAMIA

RAIS. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, AKIWA KWENYE MKUTANO WA G77 KANDO YA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA WA MABADILIKO YA TABIANCHI (COP28) UNAOFANYIKA DUBAI, UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE) TAREHE 02 DESEMBA, 2023.

Wambura Mwikabwe2 years ago2 years ago1 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye Mkutano wa G77 kando ya mkutano wa…

Read More
  • COP28 UAE
  • NISHATI SAFI
  • RAIS SAMIA

WAZIRI WA MAENDELEO YA KIMATAIFA KUTOKA NORWAY, MHE. ANNE BEATHE TVNNEREIM ASEMA UMUHIMU WA MRADI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA ITAKAYOWASAIDIA WANAWAKE BARANI AFRIKA (AWCCSP),

Wambura Mwikabwe2 years ago2 years ago2 mins

Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka Norway, Mhe. Anne Beathe Tvnnereim akizungumza kuhusu umuhimu wa Mradi wa Nishati Safi ya…

Read More
  • COP28 UAE
  • RAIS SAMIA

RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA PICHA YA KUMBUKUMBU NA RAIS WA AFRIKA KUSINI, MHE. CYRIL RAMAPHOSA NA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AFDB) DKT. AKINUMWI ADESINA

Wambura Mwikabwe2 years ago2 years ago1 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika picha ya kumbukumbu na Rais wa Afrika Kusini, Mhe….

Read More
  • COP28 UAE
  • NISHATI SAFI
  • RAIS SAMIA

RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIPIGA MAKOFI PAMOJA VIONGOZI WENGINE  BAADA YA KUZINDUA MRADI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA ITAKAYOWASAIDIA WANAWAKE BARANI AFRIKA (AWCCSP), COP28UAE),

Wambura Mwikabwe2 years ago2 years ago1 mins

Rais Samia Suluhu Hassan, akipiga makofi pamoja na Viongozi wengine mara baada ya kuzindua Mradi wa Nishati Safi ya kupikia…

Read More
  • COP28 UAE
  • NISHATI
  • NISHATI SAFI
  • RAIS SAMIA

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA MRADI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA ITAKAYOWASAIDIA WANAWAKE BARANI AFRIKA (AWCCSP), COP28UAE), 02 DES, 2023.

Wambura Mwikabwe2 years ago2 years ago3 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Mradi wa Nishati…

Read More
  • COP28 UAE
  • RAIS SAMIA

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA MPANGO WA CHAKULA DUNIANI (WFP) CINDY MCCAIN MARA BAADA YA MKUTANO WA COP28

Wambura Mwikabwe2 years ago2 years ago1 mins

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP)…

Read More
  • COP28 UAE
  • RAIS SAMIA

 RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AKIWA NA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA (COP28)

Wambura Mwikabwe2 years ago2 years ago1 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Umoja…

Read More
  • COP28 UAE
  • RAIS SAMIA

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA PAMOJA NA VIONGOZI MBALIMBALI WAKATI WAKISHIRIKI MOJA YA MIKUTANO COP28 UAE

Wambura Mwikabwe2 years ago2 years ago1 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wakishiriki moja ya…

Read More
  • COP28 UAE
  • RAIS SAMIA

 RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA KWENYE MKUTANO COP28UAE

Wambura Mwikabwe2 years ago2 years ago1 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko…

Read More
  • COP28 UAE
  • RAIS SAMIA
  • WFP

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NA MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA MPANGO WA CHAKULA DUNIANI (WFP) CINDY MCCAIN

Wambura Mwikabwe2 years ago2 years ago1 mins

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula…

Read More
  • 1
  • 2
  • 3

Recent Comments

  1. cas on WAZIRI NDUMBARO ATETA NA WAANDAJI WA SHEREHE ZA UFUNGUZI AFL
  2. Wambura Mwikabwe on RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMETUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UDAKTARI WA FALSAFA
  3. Puzolee on RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMETUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UDAKTARI WA FALSAFA

Archives

  • November 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • July 2024
  • May 2024
  • April 2024
  • March 2024
  • February 2024
  • January 2024
  • December 2023
  • November 2023
  • October 2023
  • September 2023

Categories

  • 78th UN anniversary
  • AFCON
  • AFDB BANK
  • AFL
  • AFRICAN HERITAGE
  • AFYA
  • Aga Khan
  • AIDS DAY
  • AIR TANZANIA
  • AMANI
  • Angola
  • ARUSHA NATIONAL PARK
  • AU-EU
  • AZAM MEDIA
  • BAKITA
  • BANK YA DUNIA
  • BARA LA AFRIKA
  • BARAZA LA KISWAHILI
  • BARAZA LA MAWIZIRI
  • BARAZA LA UTALII DUNIANI (WTTC)
  • BCEG
  • BENJAMINI MKAPA FAUNDATION
  • BIASHARA
  • BIBI TITI FESTIVAL
  • BODI YA UTALII
  • BOXING
  • BRANDING TANZANIA
  • BUNGENI DODOMA
  • CAF
  • CCM
  • CCM GEITA
  • CHAKULA
  • CHINA-TANZANIA
  • CHUO CHA MIPANGO
  • CLIMATE CHANGE
  • COP28 UAE
  • COSOTA
  • CRISTMASS
  • CUBA STATE VISIT
  • DEAF FAMILY FESTIVAL
  • DENMARK EMMBASSY TZ
  • DESTINATION TANZANIA
  • DHAHABU
  • DIPLOMACY
  • DIPLOMASIA
  • DKT. EMMANUEL NCHIMBI
  • DKT. MIGULU NCHEMBA
  • DKT. MWIGULU
  • DKT. SALIM AHMED SALIM
  • DOHA
  • EAC
  • ECONOMIC DIPLOMACY
  • ECONOMY
  • EDWARD LOWASSA
  • EFD
  • ELIMU
  • ELIMU YA KODI
  • ENERGY
  • EPIC TANZANIA TOUR
  • ETHIOPIA STATE VISIT
  • EU TANZANIA
  • EXIM BANK FESTIVAL
  • FDI
  • FEDHA
  • FREE WI-FI
  • Gender
  • GERMAN
  • GERMAN PRESIDENT IN TANZANIA
  • GIMIS
  • GOFU
  • GWARIDE JWTZ
  • HAKI JINAI
  • HAKI MILIKI
  • HANANG MANYARA
  • HANDENI
  • HAWA AWARDS
  • HKMU UNIVERSITY
  • HONORIS CAUSA
  • HUDUMA ZA JAMII
  • HUMAN RIGHTS
  • ICGLR HEAD OF STSTE SUMMIT
  • ILANI YA CHAMA
  • INDIA
  • INDONESIA & TANZANIA
  • INVEST IN TANZANIA
  • INVESTMENT
  • JANETH MAGUFULI
  • JANUARY MAKAMBA
  • JESHI LA MAGEREZA
  • KAMALA HARRIS
  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE
  • KAMISHENI JWTZ
  • KARUME
  • KATESH
  • KENYA UGANDA TANZANIA
  • KIGAMBONI DC
  • KILIMO
  • KISWAHILI DUNIANI
  • KODI
  • KOICA TZ
  • KONGAMANO
  • MAADILI YA KAZI
  • MADINI
  • MAENDELEO YA JAMII
  • MAFAO
  • MAFURIKO
  • MAHAFALI IFM
  • MAISHA BORA
  • MAJAJI
  • MAJI MAJI WAR
  • MAKAMU WA RAIS
  • MAKUYUNI WILDLIFE PARK
  • MALIASILI NA UTALII
  • MAPATO
  • MAPINDUZI DAY
  • MARATHON
  • MATEMBEZI YA AMANI
  • MATOKEO YA SENSA WANYAMA PORI
  • MAZINGIRA
  • MBEYA GIRLS
  • MCSL MARINE SERVICES COMPANY
  • MEI MOSI
  • MFA
  • MFA TANAZANIA SOUTH AFRICA
  • MFA TANZANIA
  • MIAKA 3 YA SAMIA
  • MIAKA 3 YA UONGOZI
  • MIAKA 50 NECTA
  • MIAKA 60 MUUNGANO
  • MIAKA 62 YA UHURU
  • MIAKA MITATU YA SAMIA
  • MICHAEL BLOOMBERG
  • MICHEZO
  • MIFUGO
  • MIKUMI NATIONAL PARK
  • MINING FORUM
  • MIOMBO
  • MITANDAO YA KIJAMII
  • MIUNDO MBINU
  • MKESHA WA KITAIFA 2023 2024 DUA MAALUMU
  • MSOMERA
  • NAIBU WAZIRI MKUU
  • NDONDI
  • NEC
  • NECTA
  • NeST
  • NEW APP
  • NGORONGORO
  • NGORONGORO URITHI GEO MUSEUM
  • NISHATI
  • NISHATI SAFI
  • NMB BANK
  • NYERERE DAY
  • OFISI YA MAKAMU WA RAIS
  • OIL AND GAS
  • OPEN UNIVERSITY
  • PAUL KAGAME
  • PBZ ZANZIBAR
  • POLE
  • POPE FRANCIS
  • PPRA
  • PRESIDENT MUSEVEN
  • PRESIDENT OF ROMANIA
  • PRESIDENT SAMIA IN NORWAY
  • PRESTIGIOUS AWARD
  • QATAR
  • RAIS MWINYI
  • RAIS SAMIA
  • RAMADHAN BROTHERS
  • REGROW
  • RIADHA
  • ROYAL TOUR
  • RUSHWA
  • RUSSIA TANZANIA RELATIONS
  • SADC
  • sam Nujoma
  • SAMIA BIRTHDAY
  • SAMIA IN RWANDA
  • SAMIA IN VATICAN
  • SANAA
  • SANAMU YA NYERERE
  • SERENGETI NATIONALA PARK
  • SGR
  • SIKU YA MISITU DUNIANI
  • SIKU YA SHERIA
  • SIKU YA WAKUNGA DUNIANI
  • SIMBA & YANGA
  • SIMBA SC
  • SPIKA WA BUNGE
  • SPORTS
  • STABILITY RETURNS TO TANZANIA
  • STATE VISIT
  • SUZA ZANZIBAR
  • TANAPA
  • TANZANIA NAMIBIA
  • TANZANIA PARADE
  • TANZANIA TOURISM BOARD
  • TANZANIA ZAMBIA RELATIONS
  • TANZANIATE BMT
  • TANZANITE
  • TATO
  • TAWA
  • TAWIRI
  • TEHAMA
  • TEKNOLOJIA
  • TEMBELEA TANZANIA
  • TEMESA
  • TFS
  • TIA
  • TOST
  • TOURISM
  • TRA
  • TRADE MARK AFRICA
  • TUZO
  • TUZO YA AMANI
  • TWENZETU KILELENI
  • UAPISHO
  • UAPISHO WA VIONGOZI
  • UCHUMI
  • UFUGAJI
  • UGANDA DELEGATES
  • UJENZI
  • UMOJA WA AFRIKA
  • UMOJA WA MATAIFA
  • Uncategorized
  • UNICEF
  • UNITED NATION
  • UNITED NATIONS
  • UONGOZI BORA
  • UPENDO FURAHA PENEZA
  • UTALII
  • UTALII KUSINI
  • UTAMADUNI
  • UTAMBULISHO WA VIONGOZI
  • UTIAJI SAINI
  • UTUMISHI
  • UTURUKI
  • UVUVI
  • UWEKEZAJI
  • VATCAN AMB
  • VIONGOZI WA DINI
  • VISIT TANZANIA
  • VISIT ZANZIBAR
  • WADAU WA MITANDAO
  • WAHITIMU TASUBA
  • WAKALA WA MAJENGO TBA
  • WAZEE
  • WAZIRI MKUU
  • WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS
  • WEF
  • WFP
  • WHO
  • WHO AFRICA
  • WIKI YA SHERIA
  • WIZARA USM
  • WIZARA YA ARDHI
  • WIZARA YA FEDHA
  • WIZARA YA HABARI
  • WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
  • WIZARA YA MAMBO YA NJE
  • WIZARA YA UJENZI
  • WIZARA YA VIWANDA
  • WORLD BANK
  • WORLD TRAVEL AWARD
  • YANGA AFRICANS
  • ZAMBIA
  • ZARA TOURS
  • ZIARA YA KITAIFA
URTUpdates.